Mlemavu wa macho UDSM atunukiwa PhD

Mlemavu wa macho UDSM atunukiwa PhD

Kati hali ya kufurahisha, katika graduation ya 52 UDSM, mlemavu wa macho, mwalimu Celestine Karuhawe amefanikiwa kutunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Elimu (PhD) akiwa ni mhitimu pekee kati ya 68 ambaye ni mlemavu wa macho.

Dk Karuhawe alitunukiwa Shahada ya Falsafa katika Elimu kwenye mahafali ya hayo yalifanyika ya Alhamisi Juni 2, 2022 jijini Dar es Salaam.

Daktari huyo mpya ni miongoni mwa wahitimu 68 wa PhD - Only 36 graduates were females. 


Dk Karuhawe ambaye ana taaluma ya ualimu na mwenye uzoefu wa kufundisha katika shule za sekondari na vyuo vya elimu ya juu nchini alitoa rai kwa chuo hicho kuendelea kutoa ushirikiano na kuweka mazingira bora ya kujifunzia kwa wote, hasa kwa kuwekeza kwenye vifaa vya kisasa vya kujifunzia vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kwa wale wenye mahitaji maalumu, pamoja na kujenga miundombinu muhimu.

Hongera sana kwake!!






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post