29
Mfahamu kikongwe anayetibu na kusafisha macho kwa ulimi
Na Asma Hamis Wakati baadhi ya watu wakienda kwenye vituo vya huduma za afya kupatiwa matibabu ya macho pale yanapopata matatizo, hiyo ni tofauti katika kijiji cha Crnjev...
20
Kisa Klopp, Guardiola atoa machozi
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola jana alimwaga machozi baada ya kuulizwa swali kuhusu kuondoka kwa meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp.Klopp jana aliiongoza Liverpool kwe...
19
Ben: Kanumba angekuwa hai macho yote yangekuwa kwetu
Mwigizaji Ben wakati akifanya mahojiano na @mwananchiscoop amesema kuwa kwa sasa kuna baadhi ya stori ambazo anafikiria kama angekuwepo Kanumba angezifanya vizuri zaidi kuliko...
18
Sababu za kutokwa machozi wakati wa kukata kitunguu
Kuna kitendawili kisemacho nampiga mwanangu nalia mwenyewe, jibu lake kitungu, kitendawili hiki kimetokana na tabia ya tunda hilo ambalo wakati wa kulikata hupelekea mkataji k...
06
Rema aweka wazi kuwa na tatizo la macho
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Rema ameweka wazi kuhusiana na uvaaji wake wa miwani kwa siku za hivi karibuni, ambapo ameeleza kuwa anatatizo la macho.Rema ameyasema hayo ...
12
Teni amwaga machozi kukosa ushindi AFCON
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #Teni amwaga machozi baada ya ‘timu’ yake ya taifa #Nigeria kukosa ushindi katika mashindano ya fainali ya AFCON 2023 kwa kufung...
15
Mama akimsimulia mwanaye mwenye ulemevu wa macho mechi inavyoenda
Unakumbuka hii mwaka 2019 mama mmoja aitwaye Silvia Grecco kutoka nchini Brazil alijizolea umaarufu baada kamera kumnasa akimsimuli mwanaye mwenye ulemavu wa macho mechi iliyo...
29
Shabiki amwaga machozi baada ya Arsenal kupokea kipigo
Kijana mmoja ambaye ni shabiki wa Arsenal ameonekana akimwaga machozi kutokana na ‘klabu’ anayoshabikia kuchapwa na #WesthamUnited bao 2-0, huku ikiwa ni mara ya k...
19
Bien atolewa machozi na mama yake
Mama mzazi wa mwanamuziki kutoka nchini Kenya Bien, amemfanyia surprise mwanaye, baada ya kupanda jukwaani alipokuwa akitumbuiza katika show yake ya kwanza tangu atoe albumu y...
18
Ifahamu kampuni inayotoa huduma ya kuwaliza watu na kuwafuta machozi
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wakati baadhi ya watu wakilalamikia ukosefu wa ajira fahamu kuwa nchini Japan kuna watu w...
21
Apigwa na watoto wake baada ya kuolewa na mwanaume mwingine
Mama mmoja kutoka nchini Kenya amepigwa na watoto wake waliopandwa na hasira walipoona amemuacha baba yao na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine. Kwa mujibu wa tovuti ya Tuko...
11
Tisa wafariki kutokana na mlipuko wa ugonjwa usiyojulikana, Kenya
Watu tisa wamefariki na wengine zaidi ya 80 kulazwa hospitalini kutokana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana katika kaunti ya Marsabit kaskazini mwa Kenya. Msimamizi wa eneo hi...
02
Messi atoa Iphone kwa wachezaji wenzake wa Argentina
Aloooooweeeh! Aloootenaaa! Sijui tuseme wiki hii ni wiki ya mwamba La Pulga au Messi kuupiga mwingi kwa kuwazawadia wachezaji wake na benchi la ufundi kwa kuwapatia simu za ip...
07
Mlemavu wa macho UDSM atunukiwa PhD
Kati hali ya kufurahisha, katika graduation ya 52 UDSM, mlemavu wa macho, mwalimu Celestine Karuhawe amefanikiwa kutunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Elimu (PhD) akiwa ni...

Latest Post