Mama akimsimulia mwanaye mwenye ulemevu wa macho mechi inavyoenda

Mama akimsimulia mwanaye mwenye ulemevu wa macho mechi inavyoenda

Unakumbuka hii mwaka 2019 mama mmoja aitwaye Silvia Grecco kutoka nchini Brazil alijizolea umaarufu baada kamera kumnasa akimsimuli mwanaye mwenye ulemavu wa macho mechi iliyokuwa ikiendelea uwanjani ya mchezo wa Palmeiras.

Tukio hilo lilivutia watu wengi nchini Brazili, na kupelekea yeye na mwanaye washinde Tuzo ya Mashabiki Bora wa FIFA. Masimulizi yake kwa mwanaye yaliazia kuelezea muonekano wa wachezaji na mazingira ya uwanja na mechi nzima ilivyokuwa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags