Bien atolewa machozi na mama yake

Bien atolewa machozi na mama yake

Mama mzazi wa mwanamuziki kutoka nchini Kenya Bien, amemfanyia surprise mwanaye, baada ya kupanda jukwaani alipokuwa akitumbuiza katika show yake ya kwanza tangu atoe albumu yake ya ‘Alusa why are you Topless’ yenye nyimbo 16.

Mwanamama huyo alipanda jukwaani wakati mwanaye akitumbuiza katika tamasha la ‘Blankets & Wine’ tukio ambalo lilifanya Bien kushindwa kuzuia hisia zake na kuanza kutokwa na machozi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags