Teni amwaga machozi kukosa ushindi AFCON

Teni amwaga machozi kukosa ushindi AFCON

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #Teni amwaga machozi baada ya ‘timu’ yake ya taifa #Nigeria kukosa ushindi katika mashindano ya fainali ya AFCON 2023 kwa kufungwa bao 2-1 na wenyeji wa mashindano hayo #IvoryCaost jana Jumapili.

Ivory Coast ambao walipoteza ‘mechi’ mbili kwenye hatua ya makundi na kushinda ‘mechi’ moja huku wakifuzu hatua ya 16 bora kama ‘best looser’ akiwa na pointi 3 na kuibuka mshindi wa AFCON 2023.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post