META yazindua mtandao mpya

META yazindua mtandao mpya

Mkurugenzi mkuu wa META, Mark Zuckerberg amezindua mtandao mwengine wa kijamii utakao shinda Twitter japo itachukua muda kidogo kuifikia Twitter.

Mtandao huo uliopewa jina la Threads unalenga kuhudumia zaidi ya watu Bilioni 1.

Ingawa META imeeleza kuwa Threads haitopatikana kwenye nchi za umoja wa Ulaya kwa sasa, itaruhusu mtumiaji kuchapisha ujumbe wenye maneno 500 na ina vitu vingi vinavyofanana na Twitter.

Hata hivyo watumiaji wameonesha wasiwasi wao kuhusu kiwango cha taarifa binafsi zinazokusanywa na Threads zikiwemo taarifa za Afya, fedha na aina ya kiburudisho (Browser), vyote vikiwa na uhusiano na utambulisho wa Watumiaji






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post