Baba Levo aomba usemaji Yanga

Baba Levo aomba usemaji Yanga

Uwiiiiiiiih! Kutoka kwa yule chawa wa kimataifa Babalevo leo bwana  amethibitisha kuwa Ametuma Maombi ya Usemaji kwenye Klabu ya yanga Ikumbukwe Siku chache zilizopita Klabu hiyo iliachana na Msemaji wao Hivyo Nafasi hiyo ipo Wazi kwasasa.

Kupitia Ukurasa wa Instagram Baba levo Ameshare picha yenye Ujumbe uliothibitisha kuwa Barua yake ya Maombi Tayari imeshafika katika Ofisi za Klabu hiyo “lengo ni kuhakikisha timu ya wananchi yanga hatupoi. Ni wahahakishie tuu hakuna walichokiepuka kero itakuwa vilevile 100%” ameandika Baba Levo

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post