Mama Dangote amtaka msanii mpya wcb kutolewa sifa, kunywa pombe na kuvuta sigara

Mama Dangote amtaka msanii mpya wcb kutolewa sifa, kunywa pombe na kuvuta sigara

#MamaDangote ambaye ni mama mzazi wa nyota wa muziki nchini #DiamondPlatnumz, amshauri msanii mpyaa anayetarajiwa kutambulishwa Novemba 16, kwenye lebo ya #WCB, kuwa heshima akitambulishwa kama alivyo sasa. 

#MamaDangpte amemtaka msanii huyo ambaye hadi sasa bado hajatambulika ni nani, kutolewa sifa za umaarufu, na endapo atataka kufanya vizuri kwenye muziki basi aache kunywa pombe , kuvuta sigara na kutolewa umaarufu. 

Aidha mama huyo amewasihi wazazi kusimamia vipaji vya watoto wao, huku akidai kuwa kwa upande wake aligundua kipaji cha #Diamond tangu akiwa na umri wa miaka miwili, hivyo akaamua kukiendeleza.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post