Mwimbaji wa Bongo Fleva, Queen Darleen kwa kipindi cha takribani miaka 20 akiwa ndani ya tasnia hiyo, ana makubwa aliyoyafanya katika muziki wake kwa kiasi chake akitengeneza ...
Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha kwenye gemu mwaka 2020 baada ya kutambulishwa kwenye lebo hiyo y...
Staa wa Bongofleva, Harmonize anaenda kuzindua albamu yake ya tano tangu ametoka kimuziki miaka tisa iliyopita, huku rekodi mbili kubwa zikiwa upande wake katika mradi huo ali...
Staa wa #BongoFleva #Harmonize ni kama ameonyesha kuchoshwa na kauli ambayo #DiamondPlatnumz anapenda kuisema mara kwa mara kuwa yeye ndiyo aliyemtoa katika muziki.
Harmonize ...
Mwanamuziki wa Bongofleva nchini Zuchu ameweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake ambaye pia ni Bosi wake Diamond kuwa hawapo kwenye mahusiano.Zuchu kupitia ukurasa wake wa Instagr...
Namwona Rich Mavoko kwenye kwato za Juma Nature. Siyo kwamba kabadilika kila kitu, hapana ni yuleyule lakini mapokezi ya ngoma zake siyo kama Rich Mavoko wa WCB. Na kitu kimoj...
Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Lava Lava ametoa shukrani kwa baadhi ya wasanii ambao wamemtafuta na kumpongeza baada ya kuachia ngoma zake mbili.Lava Lava kupitia ukurasa w...
Kaka wa nyota wa muziki nchini #Romyjons, ameendelea kuonesha upendo kwa dua zake dhidi ya #Diamond, kwa kumuombea maisha marefu.
Kwenye dua hizo #Romy ameomba Mungu kumbariki...
Imekuwa kawaida kuona wanamuziki wakitumia wapenzi wao kama video vixen au video king kwenye video zao, na kama maudhui ya wimbo ni kuhusu mama basi wengi hutumia mama w...
Na Asha Charles
Alooooo! Tuzo za TMA zimezua balaa kwa baadhi ya wasanii kutoa mapovu kutokutajwa katika listi ya tuzo hizo ambapo mmojawapo akiwa ni msanii kutoka lebo ya WCB...
Oooohooooo! Bwana chibude anawaambia mkae mkao wa kula mana anaingiza kontena jipya hivi karibuni sasa hilo kontena jipya litakuwa na ushahidi ili kuepuka maneno ya kuse...
Aloooooh! Mnasema nihame bongo niende wapi mie ahahha! Basi bwana siku chache baada ya yule Baba wa binti maarufu Paula kajala, bwana P Funk Majani kumwaga povu kuhusu Lebo ya...
Nyota wa Bongo Flava na CEO wa Next Levl Music, RayVanny ameaga rasmi lebo ya WCB Wasafi.Ingawa tetesi hizo zimekuwa zikitamba kwa muda sasa, ila leo msanii huyo kupitia kuras...