Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya ‘Klabu’ kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania ‘Klabu’ ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.
Ambapo ‘timu’10 bora Afrika zikiwa ni
- Al Ahly
- Wydad Casablanca
- Pyramids FC
- Yanga SC
- Mamelodi Sundowns
- Raja Casablanca
- FAR Rabat
- CR Belouizdad
- Zamalek SC
- Esperance
Leave a Reply