Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Kansas unaeleza kuwa wanandoa ambao hawajihusishi sana na mitandao ya kijamii huwa na furaha zaidi kuliko wanaojihusisha na mitandao hiyo.
Watafiti hao waliuliza zaidi ya wanandoa 300 kuhusu kuridhika kwako kwa uhusiano na tabia za mitandao ya kijamii na kugundua kuwa wale ambao mara nyingi huposti uhusiano wao kwenye mitandao huwa wanajilinganisha na wengine.
Ambapo tukio hilo linawasababishia kuwa na wivu, msongo wa mawazo na kupelekea kuharibu uhusiano huo. Hivyo basi utafiti huo uligundua kuwa, kuwa faragha zaidi mtandaoni kunaweza kusababisha uhusiano wa furaha na wa kweli zaidi.
Leave a Reply