Utafiti: Gen Z siyo walevi

Utafiti: Gen Z siyo walevi

Kwa mujibu wa utafiti uliyochapishwa na tovuti ya Forbes umebaini kuwa kizazi cha Gen Z kinakunywa pombe kidogo zaidi kuliko vizazi vilivyotangulia.

Utafiti huo unaeleza kuwa unywaji pombe huo wa kiasi unatokana na kizazi hicho kuwa na wasiwasi katika masuala mazima ya afya ya akili, mwili pamoja na kutopoteza uthibiti kwenye mitandao ya kijamii.

Tafiti zinaonesha kuwa kuna zaidi ya upungufu wa asilimia 20 ya unywaji wa pombe ukilinganisha na Millennials.

Hata hivyo kutokana na hilo, kuna ongezeko la mahitaji ya vinywaji visivyo na pombe au vyenye kiwango kidogo cha pombe, jambo ambalo limesababisha bidhaa zilizopo na kampuni mpya kuvumbua katika eneo hili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post