Uhuru Kenyatta arejea tena mitandaoni

Uhuru Kenyatta arejea tena mitandaoni

Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta amerejea mitandaoni baada ya kutokuwa kwa zaidi ya miaka 2. Kiongozi huyo amerudi kwa kufungua akaunti mpya iliotambulika kwa jina la  @4thPresidentKE, ambayo inapatikana katika mtandao wa FaceBook na Twitter.

Kenyatta alijiondoa mitandaoni Machi 2019 baada ya kilichoelezwa kuwa ni unyanyasaji wa kimtandao kutokana na kushambuliwa.

Novemba 2020, Uhuru alikiri kuwa mwathirika wa unyanyasaji wa kimtandao kwa kusema "Niliondoka Twitter na mitandao mingine ya kijamii kwasababu niliona imejaa matusi na hakuna kitu cha kujenga."


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post