Mwanamuziki #ShomaDjozi amefunguka kuwa wasanii wa Afrika Kusini wana sample nyimbo zao za zamani ili kutoa muziki mzuri wakisasa Amapiano, lakini kwa wasanii wa Tanzania hawafanyi hivyo.
Aidha Katika kuthibitisha kauli yake alionesha kwa vitendo akitumbuiza jukwaani akiimba wimbo wake mpya wa Amapiano ambao amechukua sample kutoka kwa mkongwe wa muziki Tanzania Matonya kupitia wimbo wake ‘Anita’.
Shomadjozi ameonekana mara kadhaa kuupigania muziki wa Bongo Fleva akifanya kolabo na baadhi ya wasanii wa kitanzania na kuonekana kufanya vizuri kwenye hizo nyimbo alizoshirikishwa na wasanii kutoka Tanzania.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi
Leave a Reply