Aiseee!! Mambo yamebadilika sana mtu wangu, dunia ina kwenda kwa kasii vibaya, hapa naweza kukuhabarisha kwa namna hiyo awali imezoeleka kuwa kazi ya concelling wanafanya watu wazima ambao ukiwatazama hata wewe ukiwa na jambo lako basi unasema enheee hapa napona bhna.
Nikwambie tu mambo yamebadilika kutokana na maendeleo ya Science na Technology, leo nakukutanisha naye kijana Ezekia Mhule, maarufu kama “Mtia moyo.” Mwanafunzi kutoka Chuo cha Dar es Salaam School of Journalism (DSJ) anayefanya kazi ya ushauri licha ya umri mdogo aliokuwa nao.
This story is available exclusively to MWANANCHISCOOP members.
Become a #Scooper and start reading now.
Ezekia Mtia Moyo
Nafurahi sana kuona makala ya kuhusu historia ya maisha yangu na kipaji changu, ninyi ni familia, siku moja itakuwa zaidi ya hapa! Nawasihi vijana wenzangu kukazania vipaji pasina kutazama watu wanasemaje? Siku moja tutafanikiwa.
Aisha Mohammed
Shukran za dhati zimfikie muandishi wa hii makala lakini shukran za pekee zimfikie ndugu yetu kipenz Ezekia..tunakupenda na tunathamini mchango wako katika jamii tunakuombea afya na weledi katk kazi zako..... Shukran...
Khadija Euphrasie
Mwenyeezi akujaaliye kila la heri kaka Ezekia Mhule
Khadija Euphrasie
Mwenyeezi akujaaliye kila la heri kaka Ezekia Mhule
EVARISTO
Bravel, keep it up.
Hadassah
Hii ni kazi inayokufaa Ezekia may God help you go far
Hadassah
Hii ni kazi inayokufaa Ezekia may God help you go far
Ndoto njema huonekana asubuhi hongera mtia moyo na mfariji wetu wanyonge
Huyu jamaa Yuko vizuri Sana namkubali
Huyu jamaa Yuko vizuri Sana namkubali
Janeth mtwevr
Hongera Sana kijana! Kazi zako nzuri Sana kaza buti
Janeth mtwevr
Hongera Sana kijana! Kazi zako nzuri Sana kaza buti
Jackline John
Hongera San mpendw kwa Kaz hii unayoifanya kumbuka sio wote wanakipaj Kama hik Be blessed
Eunice moses
May God bless you
Eunice moses
May God bless you
Champion
Namkubali sana group mate Wang yuko vizur San ....
Prof.Dorcas Emmanuel.
Nikupe hongera nyingi sana kwa kuwa na ubunifu huo. Ni hatua kubwa mno nikutie moyo mwanangu Ezekia. Kazi yako ni njema Sana. Ushauri wangu kwako pia, Ili huduma hii iweze kustawi na kunawiri inahitaji upate huduma ya vyakula vya asili hususan kwa hawo walengwa.Ukitoa ushauri uambatane na mtu ale vyakula gani kwa ajili ya afya ya ubongo pamoja na mwili mzima kwa ujulma wake. Utakuwa umefaulu sana kwa kiwango kikubwa Hezekiah.