14
Wafanyakazi Watakaoanzisha Mahusiano Kupewa Pesa
Baadhi ya kampuni kutoka nchini China zimeripotiwa kuwa na mpango wa kuhamasisha wafanyakazi wasio na wapenzi kwa kuwapa pesa.Imeelezwa kuwa wafanyakazi wasiokuwa na wenza wat...
02
Kim Kardashian amalizana Beckham Jr
Mwanamitindo na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani #KimKardashian amedaiwa kuachana na mwanasoka Odell Beckham Jr baada ya kutoonekana naye pamoja hivi karibuni. Kwa mujibu...
17
Ten Hag akiondoka Sancho anarudi United
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya Manchester United, Jadon Sancho ambaye kwasasa anakipiga Borussia Dortmund ameripotiwa kueleza kuwa yupo tayari kurudi Man United ...
25
Shakira hataki kuolewa tena
Mwanamuziki kutoka nchini Colombia #Shakira baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu #GeralgPique amedai kuwa hatojihusisha na mahusiano wala kuolewa tena. Msa...
04
Mastaa wa bongo waige mahusiano ya Navykenzo
Kumekuwa na wimbi kubwa la wasanii wa Bongo kutokuwa na mahusiano ya kudumu hii imekuwa ikiwaogopesha, watu wengine kuingia kwenye mahusiano na wasanii au watu maarufu kwa kuo...
02
Jada ataka binti yake apate mahusiano kama yake
Muigizaji na mwandishi Jada Smith ameweka wazi kuwa anatamani binti yake Willow Smith apate mahusiano yanaayofanana na yake, yeye na mumewe Will Smith.Jada ameyasema hayo waka...
11
Dorah atoa povu wanaosema hawezi kuwa na mahusiano
Muigizaji wa #BongoMovie, ambaye alijulikana zaidi kupitia tamthilia ya ‘Jua Kali’  #Dorah ameeleza kuwa anachukizwa na watu wanaosema kuwa hawezi kuwa na Mah...
14
Anayedai mchepuko wa beki wa Man City ajitokeza na mtoto
Anayedaiwa kuwa mchepuko wa mchezaji wa #MchesterCity, #KyleWalker, amejitokeza akiwa na mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Walker, baada ya mke wa beki huyo #AnnieKilner kutangaza k...
11
Beki wa Man City abwagwa na mkewe
Mke wa mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #KyleWalker, #AnnieKilner ametangaza kutengana na mume baada ya kudumu kwa miaka miwili kwenye ndoa. Kwa mujibu wa Th...
04
Platform akanusha kuwa kwenye mahusiano na Muna Love
Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki wa #Bongofleva #Platform kuwa kwenye mahusiano na mwanadada #Munalove, hatimaye #Platform amekanush...
28
Kendrick orodha ya mastaa waaminifu mahusiano
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Kendricklamar ameingia kwenye orodha ya ‘mastaa’ waaminifu zaidi kwenye mahusiano baada ya kuwa na mpenzi mmoja tu. Kend...
27
Sonja adai kuwa kwenye mahusiano na mti
Mwanamke mmoja kutoka nchini Canada aitwaye Sonja mwenye umri wa miaka 45 amesema kuwa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mti huo pichani na huwa anapata hisia za kimapenzi...
13
Madam Rita: Sina mume wala mchumba, Nahisi wananiogopa
Mkurugenzi wa Bongo Star Search #BSS, #RitaPaulsen maarufu kama Madam Rita, amedai kuwa hana mume wala mchumba anahisi wanaume wanamuogopa. Akizungumza na moja ya chombo cha h...
13
Kiredio tishio mtaani mahusiano ya watu
Isaaaa Furahii dei yooh,  ni siku ya sisi kukutana na kufurahi pamoja kutokana na burudani ambazo tunazipata kwenye segment hii kupitia jarida letu pendwa la Mwananchi Sc...

Latest Post