Mabala: Maneno ya misimu lazima kurasimishwa

Mabala: Maneno ya misimu lazima kurasimishwa

Wengi wetu tumesoma vitabu vya mwaandishi Richard Mabala lakini hakuna anaefahamu kuwa mwandishi huyu mwenye asili ya Uingereza kuwa ni Mtanzania alieitangaza kwa upana mkubwa lugha ya Kiswahili.

Amekua moja ya watu wanaopigania Kiswahili kutumika kama lugha ya kufundishia nchini Tanzania ili kuwezesha wanafunzi kuelewa kwa urahisi.

Mtunzi huyu wa vitabu na mashahiri alizungumza na moja ya chombo cha habari kwa kusema kuwa ni lazima kukubali kuwa lugha ya Kiswahili inakua hivyo maneno mapya yanazaliwa kutokana na namna vijana wanavyo wasiliana sasa maneno hayo yanayozuka (misimu) hayana budi kurasimishwa.

Chanzo: BBC






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post