First African to win Grammy Awards

First African to win Grammy Awards

Tuzo za Grammy ni kati ya tuzo zinazopendwa na zinazofuatliliwa zaidi duniani. If you are among the music lovers, hii lazima unaijua. It’s among the biggest awards, na wasanii wengi huwa proud kushinda Grammys.

 

Je unataka kumjua Muafrika wa kwanza kabisa kushinda tuzo hizo? Jibu tunalo! Ni Miriam Makeba.

 

Miriam alikuwa ni singer, songwriter na actress, kutokea Afrika Kusini (SA), akiimba muziki katika miundo ya Afropop, Jazz na world music.

 

Miriam ambae alitunukiwa jina la “MAMA AFRICA,” alizaliwa 4TH March, 1932, na kufariki 9thNovember, 2008 kwa ugonjwa wa mshtuko wa moyo.

 

Mwaka 1966, Miriam alituheshimisha bara la Afrika, kwa kuwa mtu wa kwanza kabisa kutoka bara hili kushinda hizo awards, kwa kushinda category ya “BEST FOLF RECORDING,” kupitia album yake ya 1965 ya An Evening with Belafonte/Makeba.

 

Hadi kufikia umauti wake, Miriam alishinda Grammy Award 1, na kuwa nominated mara 9 – according to the Grammy Awards Site.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post