FIRST AFRICAN IN SPACE

FIRST AFRICAN IN SPACE

Hello! While you have been still and stuck, mimi nilikuwa busy kukutafutia interesting facts za kukushagaza siku ya leo. You know what they say, ukiniona mimi tu kwenye LISTI, you are in for it!

 

Kama kawaida mshkaji wangu, SIJAKUANGUSHA! Leo nakupa hii moja kali, nimeibuka na MWAFRIKA WA KWANZA KUFIKA IN SPACE.

 

Watching movies zenye watu wa NASA zimekuwa zikitufanya tufikirie sisi Waafrika tutafika lini? Guess what? TUSMEFIKA!

 

Mark Shutterworth, Raia wa South Africa ndie Mwafrika wa kwanza kabisa kufika space.

 

Japokuwa Mark, ni Mwafrika mwenye asili ya uBritish, bado analiwakilisha bara. Alizaliwa September 18, 1973, huko huko SA.

 

Alipokuwa chuoni mwaka 1995, alianzisha Consultancy Firm iitwayo Thawte

Ambayo baade ilinunuliwa na kampuni ya Marekani. Baada ya kuzaliwa pesa ya kutosha, mwaka 2001 he bought a seat at on a Russian spacecraft na kuanza kinachoitwa sasa ‘The First African in Space project.’

 

Alisafiri kwenda space April 25, 2002 na kurudi on May 5, 2002. Making him the first African on Space!

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post