Msanii kutoka nchini Nigeria Davido kwenye moja ya interview aliyoifanya hivi karibuni amesema kwamba kama asingekuwa mwanamuziki basi angekuwa mchekeshaji (comedian)
“Kama nisingefanya muziki, ningekuwa mchekeshaji, tangu shule nilikuwa mtu wa kuwachekesha watu napenda sana kuwafanya watu wafurahi” amesema Davido
Alooooo! Kwa mtazamo wako mwanangu sana je mwamaba huyu angeweza kuwachekesha watu au anatupiga na kitu kizito, dondosha komenti yako hapo chini mtu wangu wa nguvu utueleze maoni yako.
Leave a Reply