Baada ya tukio la mwanamuziki 50 Cent kumjeruhi Bryhana Monegain, mtangazaji wa kituo cha Redio cha Power 106, kwenye paji la uso kwa kumrushia microphone usoni, sasa wakili w...
Mpenzi wa mwadada Hamisa Mobetto, @kevinsowax amekiri kufunga ndoa na mrembo huyo baada ya kuoneshwa mahaba mazito na Hamisa sasa amua kuweka wazi kuwepo kwa ndoa yao.
Katika ...
Mambo yameiva Taifa Stars baada ya ‘kipa’ wa #GeitaGold, ambaye alishawahi kicheza katika ‘timu’ ya #Yanga, #ErickJohora kuitwa kwa mara ya kwanza kati...
Baada ya siku za hivi karibuni mwanadada @divathebawse kusema anatamani ku-adapt mtoto kutokana na kutopata mtoto kwa muda mrefu, sasa mume wa mtangazaji huyo #Abdulrazk ameib...
Baada ya Mh.Babu Tale kuonesha nia ya kumsaidia msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva Founder, watanzania pia wameonekana kuungana na Babu Tale katika kuinua kipaji cha ki...
Akizungumza na waandishi wa habari Afisa wa Habari na Mawasilino wa 'klabu' ya Simba, Ahmed Ally kuelekea ‘mechi’ ya kufuzu hatua ya makundi dhidi ya ‘klabu&...
Wakiwa katika tamasha aliloandaa msanii wa Marekani 50 Cent lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye jukwaa la Surprise Artist nchini humo mwanamuziki #Tyga arudishiwa bracel...
‘Klabu’ ya Brighton inadaiwa kufika makubaliano na ‘klabu’ ya Barcelona juu kumsajili mshambuliaji Ansu Fati kwa mkataba wa mkopo mpaka Juni 2024. Brig...
Mchekeshaji Kicheche amewataka wachekeshaji waachane na tabia ya kujipendekeza kwa wasanii wa muziki kwa sababu wanakuwa kama chawa wa wasanii hao huku hakuna kitu wanachonufa...
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya na mume wa mrembo Vera Sidika @queenveebosset, #BrownMauzo ametangaza kuachana na mke wake kwa kutalakiana.
Katika ukurasa wa Instagram wa star...
‘Kocha’ wa ‘soka’ la vijana wa Virginia, Vince Villanueva adaiwa kupigwa na mzazi aliyetoka nje ya uwanja na kumvamia kwa kumpiga na chupa ya maji uson...