Atengeneza bango kwa ajili ya Drake

Atengeneza bango kwa ajili ya Drake

Binti aliyefahamika kwa jina la Miya Mwenye umri wa miaka 15 ameonesha mapenzi yake ya dhati kwa ‘rapa’ kutoka nchini marekani, Drake kwa kuweka bango kwa ajili ya kumualika kwenye siku yake ya kuzaliwa.

Wazazi wa binti huyo walitengeneza bango na kuliweka katikati ya jiji la Jacinto, bango hilo ambalo lilikuwa na picha ya binti yao na Drake likiwa ni la mualiko kwenda kwa ‘rapa’ huyo lililokuwa likieleza kuwa.

Drake umealikwa katika sheherehe ya siku yake ya kuzaliwa, ya Miya Disemba, 2023 itakayo fanyika Alexia huko Corpus Christi ambapo anatarajia kutimiza miaka 16.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags