Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Erick Omondi ameeleza kuwa atatumia siku nne mfululizo bila kulala kuanzia siku ya leo Ijumaa saa mbili usiku hadi Jumatatu, ataingia live kwen...
Msanii kutoka Marekani, Justin Bieber ameamua kuajiri mwanasheria mpya wa kumsaidia kuvunja mkataba na Management ya SB Projects inayomilikiwa na Scooter Braun.
Kwa mujibu wa ...
Baada ya msanii wa hip-hop Khaligraph kuwaibua wasanii kutoka Tanzania kumjibu madai yake ya kuwa wasanii wa muziki huo Bongo hakuna wanachofaya.
Msanii mwingine tena kutoka n...
Mcheza mieleka maarufu duniani, Bray Wyatt amefariki dunia jana Agosti 24, 2023 akiwa na umri wa miaka 36. Kifo chake kimethibitishwa na chama cha mieleka dunia (WWE) huku sab...
Mchezaji wa Manchester City, Joao Cancelo, inadaiwa kuwa yuko mbioni kuondoka katika ‘klabu’ yake ya sababu kwa madai ya kutopata nafasi ya kutosha kwenye kikosi c...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Burna Boy ameweka wazi kuwa thamani yake ni zaidi ya tsh 55 bilioni kama mtandao wa google unavyoeleza.
Kwa sasa ukingia katika mtando wa google na ...
Afisa habari na msemaji wa ‘klabu’ ya #Yanga, Ali Shabani Kamwe, leo katika mkutano na waandishi wa habari ameeleza kuwa mchezaji wao raia wa Afrika Kusini Skudu M...
Mambo ya mekuwa makubwa FIFA baada ya shirikisho hilo kudaiwa kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Rais wa Shirikisho la Soka nchini Uspania Luis Rubiales, kutokana na kitendo...
Mwanamuziki wa kizazi kipya #Marioo amefunguka mazito kuhusu mwanamuziki mwenziye Abby Chams @abigail-chams kwa kudai kuwa anajuta kum- support mwanamuziki huyo.
A...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Rayvanny ametoa maoni yake kwa kusema kuwa yeye anafikiri wasanii wangekuwa ni watu wa kuogopeka sana kwa kazi wanazofanya kwa sababu msanii akitoa...