Wachezaji walalamika jezi kushika jasho haraka

Wachezaji walalamika jezi kushika jasho haraka

Wachezaji wa ‘klabu’ ya Aston Villa watoa malalamiko kwa ‘kampuni’ ya utengenezaji ‘jezi’ ya Castore, kwa kudai ‘jezi’ hizo zinashika jasho haraka, na inaelezwa kuwa ‘klabu’ hiyo iko mbioni kusitisha mkataba na ‘kampuni’ hiyo.

Mkataba kati ya Aston Villa na Castore unatarajiwa kusitishwa mwishoni mwa msimu huu huku majadiliano zaidi yakiendelea kuhusu kutafuta suluhu ya muda.

Kwa upande wa ‘kampuni’ hiyo ya imepokea taarifa za malalamiko hayo na kuahidi kuchukua hatua za haraka kwa ajili ya kutatua tatizo hilo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags