Mwijaku: Whozu tafuta pesa uheshimiwe ukweni

Mwijaku: Whozu tafuta pesa uheshimiwe ukweni

Muigizaji na mwandishi wa habari Mwijaku ametoa ushauri kwa mwanamuziki Whozu kuwa atafute pesa ili aweze kuheshimiwa ukweni,
Hii inakuja baada ya kilichotokea usiku wa kuamkia leo katika birthday party ya Wema Sepetu, kwa kile alichokiongea mama mzazi wa mrembo huyo kuhusu Whozu kufuata taratibu za ndoa na sio kuishi bila kufuata taratibu.

Mwijaku kupitia ukurasa wake wa instagram ame-post picha akiwa na Whozu iliyoambatana na ujumbe usemao..
“Whozu Tafuta pesa uheshimiwe ukweni tafadhali mdogo wangu .Aibu naiona mimi”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags