Mbwa asimamisha mechi baada ya kukimbia na mpira

Mbwa asimamisha mechi baada ya kukimbia na mpira

‘Mechi’ ya mpira wa miguu nchini Mexico ilisimama baada ya mbwa kuingia uwanjani na kukimbia na mpira katika mchezo wa Alebrijes Oaxaca dhidi ya Dorados.

Mchezo huo ambao ni ‘ligi’ daraja la pili iliochezwa siku ya Jumatano uliongozwa na Alebrijes kwa bao 4-0, ambapo mbwa huyo aliingia uwanjani dakika za nyongeza na kuondoka na mpira.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags