22
Ukitumia ‘WiFi’ ya mtu bila ruhusa, faini tsh 23 milioni, Kifungo miaka mitatu
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani hivi sasa mtu mmoja anaweza kutumia data ya mtu mwingine endapo tu ataungan...
22
Babu tale kuing’arisha nyota ya msanii mchanga
Nyota ya msanii mchanga #Founder_tz1  imeanza kung’aa baada ya Meneja wa #Diamondplatnumz na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki #Babutale, kuonesha kufurahishwa na...
22
Sholo Mwamba: Inaniumiza Mama yangu simjui
Mwanamuziki wa nyimbo za #Singeli #SholoMwamba amesema kitu ambacho kinamuumiza kila siku kwenye maisha yake ni kutomfahamu mama yake mzazi. Amedai kuwa mama yake alifariki wa...
22
Wanandoa wapata watoto mapacha siku sawa na waliyo zaliwa wao
Si jambo la kawaida kwa familia kusherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa siku moja ya tarehe na mwezi wakufanana, wanandoa Jose Ervin na Scierra Blair kutoka Ohio wamejikuta kwen...
22
Ariana Grande atemana na Sb Projects
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Ariana Grande ameachana na management yake ya muda mrefu  ‘SB Projects’  inayomilikiwa na Scooter Braun, ambayo amekuw...
22
Watumbukia kwenye bwawa baada ya jukwaa la sarakasi kuvinjika
Sehemu maarufu ya kivutio nchini Ujerumani ambayo juu  imewekwa  jukwaa la michezo ya waruka sarakasi huku upande wa chini kuna bwawa la maji, imetokea ajali baada y...
22
Alikamwe: Hamisa aliniita mtoto, Siku nikilewa nitasema
Afisa Habari wa #Yanga Ali Shabani Kamwe amfikishia ujumbe mwanadada Hamisa Mobetto kuwa amesikia alivyomuita ‘kid’ na kudai kuwa siku akilewa atatoka hadharani na...
22
50 Cent amshangaa Nick kuwa na watoto 12, Hataki majukumu
Rapper mkongwe wa Marekani 5O Cent ameweka wazi kuwa haiwezi kutokea akawa na watoto wengi kama ilivyo kwa muigizaji, mchekeshaji na mtangazaji Nick Cannon ambaye hadi sasa an...
22
Verrtti kutua Man United
Licha ya kudaiwa kuwa ‘mabosi’ wa #Al-Hilal kufika #Ufaransa kwa ajili kumuwinda kiungo wa #PSG, #MarcoVerrtti, lakini hawajafikia ‘klabu’ ya #Manchest...
22
Ibraah: Hakuna anayeweza kuziba pengo langu
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Ibraah ameeleza kuwa, nafasi  yake katika uimbaji hakuna mtu ambaye anaweza kushindana naye hata kama akiwa kimya kwa muda mrefu bila kutoa wi...
21
Ifahamu sheria ya Marekani inayomkataza mwanaume kununua pombe bila kibali cha mkewe
Kila nchi au eneo huwa na sheria na kanuni zake ambazo husimamia watu wa eneo hilo, pia katika maeneo mbalimbali duniani kumekuwa ...
21
Gigy : Nitambatiza mwanangu, Baba yake haeleweki
Mwanamuziki #Gigy Money akiwa kwenye mahojiano na moja ya chombo cha habari nchini anadai kuwa week ijayo amepanga kwenda kumbatiza mtoto wake kutokana na baba mtoto kumkalia ...
21
Wasanii wanakula viporo mtandaoni ‘Wanaposti’ tofauti
Mchekeshaji wa kundi la #WatuBaki #Kipotoshi amefichua siri ya baadhi ya wasanii kufanya vitu visivyo na uhalisia wa maisha yao kwa kudai kuwa wanaji-brand. Kipotoshi ame-post...
21
Rais akosolewa baada ya kumbusu mchezaji
Rais wa shirikisho la soka nchini Hispania Luis Rubiales akosolewa baada ya kumbusu mdomoni mchezaji wa ‘timu’ ya taifa ya wanawake nchini humo Jenni Hermoso. Luis...

Latest Post