Ariana Grande atemana na Sb Projects

Ariana Grande atemana na Sb Projects

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Ariana Grande ameachana na management yake ya muda mrefu  ‘SB Projects’  inayomilikiwa na Scooter Braun, ambayo amekuwa akifanya nayo kazi tangu mwaka 2013.

Ikumbukwe kuwa mwaka huohuo 2013 baada ya Ariana kuanza kusimamiwa na Scooter alifanikiwa kutoa albam yake ya kwanza iliyoenda kwa jina la “Yours True ambayo hivi karibuni alisherekea maadhimisho ya miaka 10 ya #Albam hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags