Babu tale kuing’arisha nyota ya msanii mchanga

Babu tale kuing’arisha nyota ya msanii mchanga

Nyota ya msanii mchanga #Founder_tz1  imeanza kung’aa baada ya Meneja wa #Diamondplatnumz na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki #Babutale, kuonesha kufurahishwa na kipaji chake.

Babu Tale ameagiza kijana huyo apelekwe kwenye ofisi za Wasafi. Kupitia Instagram yake #Babutale ameandika

“Nimependa huyu dogo anavyoimba na kwakua tumeumbwa kuwainua wenzetu basi kwenye hii Wasafi Festiva pia ningependa kuona hii nyota ikiendelea kuwaka. Haya kwa anayemfaham huyu kijana aniletee kwenye ofisi za wasafi. Nataka nimpe ofa ya Video na audio ili atimize ndoto zake. #theblackgodfather”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags