Ibraah: Hakuna anayeweza kuziba pengo langu

Ibraah: Hakuna anayeweza kuziba pengo langu

Mwanamuziki wa #BongoFleva #Ibraah ameeleza kuwa, nafasi  yake katika uimbaji hakuna mtu ambaye anaweza kushindana naye hata kama akiwa kimya kwa muda mrefu bila kutoa wimbo.

Ameyasema hayo akiwa katika mahojiano na moja ya chombo cha habari amekiri kuwa amekaa kimya kwa muda mrefu lakini haina maana kuwa anaweza akatokea msanii yeyote akaziba pengo lake.

Pamoja na hayo Ibraah anaeleza hajaona ushindani wowote na kama itatokea akaona ushindani mkubwa basi ataweza kutoa nyimbo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags