Wanandoa wapata watoto mapacha siku sawa na waliyo zaliwa wao

Wanandoa wapata watoto mapacha siku sawa na waliyo zaliwa wao

Si jambo la kawaida kwa familia kusherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa siku moja ya tarehe na mwezi wakufanana, wanandoa Jose Ervin na Scierra Blair kutoka Ohio wamejikuta kwenye furaha isiyo kifani baada ya kupata watoto mapacha kwenye tarehe sawa na yao.

Wanandoa hao husherekea birthday yao siku moja kwani walizaliwa tarehe na mwezi wa kufanana , katika hali isiyo ya kawaida wamefanikiwa kupata watoto mapacha tarehe na mwezi sawa waliozaliwa wao.

Watoto hao wamewapatia majina ya Jose Ervin III na A-ria.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Habiba Mohamed

A digital journalist and writer for mwananchi scoop My stories around entertainment,fashion, Artist profile, relationship, lifestyle and career.


Latest Post

Latest Tags