27
Msanii wa Kenya Tenball amjia juu Khaligraph, aikingia kifua Tanzania
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, #Tenball amjia juu msanii mwenzake #Kaligraph kutona na kujiona bora kuliko wasanii wa Tanzania, ...
27
Harmonize kunogesha tamasha la pili la Utamaduni la Kitaifa
Staa wa Bongo Flava, Hamornize leo Agosti 27 atatoa burudani kwenye kilele cha tamasha la pili la Utamaduni la Kitaifa linalofanyika katika Stendi ya zamani iliyopo Njombe Mji...
27
Iggy akatisha show baada ya suruali kuchanika jukwaani akitumbuiza
Mwanamuziki kutoka Australia Iggy Azalea wakati akitumbuiza kwenye tamasha Boulevard Riyadh City nchini Saudi Arabia, alilazimika kukatiza show jukwaani baada ya suruali aliyo...
27
Mo Salah kutimua vumbi al-lttihad
'Klabu' ya Al-lttihad ya Saudi Arabia inadaiwa kuwa inauhakika waa kupata ‘saini’ ya nyota wa 'klabu' ya Liverpool, Mohamed Salah kabla ya dirisha lao kufungwa.'Ti...
27
Harmonize amtakia hari Rayvanny
wakati mwanamuziki Rayvanny akiendelea kutimua vumbi nchini Congo na kukonga nyoyo za mashabiki wake nchini humo msanii Harmonize ameibuka na mkutakia kila la heri mwanamuziki...
27
Burna Boy awashangaza watu katika shindano la kuonja wali
Msanii kutoka nchini Nigeria Burba Boy amewashangaza wengi baada ya kuweza kukisia aina za wali, kutoka mataifa mbalimbali katika challenge ya kutambua aina ya mchele na nchi ...
26
Ninja atimkia Congo
Aliyekuwa ‘beki’ wa ‘klabu’ ya Yanga Abdallah SHaibu 'Ninja' awasili nchini Congo inadaiwa mchezaji huyo ‘amsaini’ mkataba wa mwaka mmoja k...
26
Gigy: Masha Love ni chawa, niliwahi kuwa mpenzi wa Alikiba
Mwanamuziki wa kizazi kipya #GigyMoney akiwa katika interview na waandishi wa habari amedai kuwa #MashaLove sio rafiki yake yeye anachofahamu Masha ni chawa tu, Gigy amedai ha...
26
Skudu atua uwanjani na mkewe, Ally Kamwe amwaga sifa
Usiku wa kuamkia leo mchezaji wa Yanga, Skudu Makudubela amewasili Tanzania kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake Aidha mchezaji huyo alikuwa amesema anashauku kubwa ya kuji...
26
Billnass: Sijaacha hip-hop kwa sasa nipo na amapiano
Wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo wa 'Maokoto' wa msanii Billnass, ameeleza kuwa hajaacha muziki wa hip-hop kuna mambo mengi mapya yanakuja amewataka mashabiki wake kukaa t...
26
Steve Harvey akanusha kuwasema vibaya wachekeshaji
Siku chache zilizopita kupitia ukurasa wa X wa mchekeshaji na mtangazaji maarufu duniani Steve Harvey, kutoka nchini Marekani ulitumwa ujumbe ukiwa na taarifa yenye kudai kuwa...
25
Joe ajutia kumnyima ‘Kolabo’ Drake
Msanii kutoka Marekani #FatJoe amuomba msamaha, #Drake kwa kuwahi kumnyima collable ya kufanya nae remix ya wimbo wa ‘All The Way Up’ wimbo ambao aliufanya mwaka 2...
25
Fahamu siri ushangiliaji wa Messi kunyoosha vidole angani
Imekuwa kawaida kwa mashabiki wa mpira wa miguu kuvutiwa na ushangiliaji wa baadhi ya wachezaji, kuna wakati mchezaji hupendwa na mashabiki wengi wa kila rika kutokana na aina...
25
Shamsa: Wanaume nao ni binadamu
Baada ya muigizaji #ShamsaFord kufunga ndoa hivi karibuni na Husseni Mlilo, amewajibu baadhi ya watu wanaodai kuwa ameolewa na mume wa mtu. Shamsa ameeleza kuwa mwanaume haibi...

Latest Post