Alikamwe: Hamisa aliniita mtoto, Siku nikilewa nitasema

Alikamwe: Hamisa aliniita mtoto, Siku nikilewa nitasema

Afisa Habari wa #Yanga Ali Shabani Kamwe amfikishia ujumbe mwanadada Hamisa Mobetto kuwa amesikia alivyomuita ‘kid’ na kudai kuwa siku akilewa atatoka hadharani na kumjibu mwanadada huyo kama yeye ni mtoto au mkubwa.

 

Kamwe amezingumza hayo baada ya kuulizwa nini kinaendelea kati yake na Hamisa.

Credit EATV

.

.

#MwananchiScoop






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags