Wasanii wanakula viporo mtandaoni ‘Wanaposti’ tofauti

Wasanii wanakula viporo mtandaoni ‘Wanaposti’ tofauti

Mchekeshaji wa kundi la #WatuBaki #Kipotoshi amefichua siri ya baadhi ya wasanii kufanya vitu visivyo na uhalisia wa maisha yao kwa kudai kuwa wanaji-brand.

Kipotoshi ame-post video inayoonesha mayai, korosho na parachichi huku akidai kuwa wasanii huonesha vitu kama hivyo huku nyuma wakiwa wameficha viporo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags