Usiku wa Tuzo za Tanzania Comedy Award uliofanyika katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Februari 22, 2025. Umejaa hisia tofauti kwani washindi walisherehekea mafanikio yao...
Mchekeshaji wa kundi la #WatuBaki #Kipotoshi amefichua siri ya baadhi ya wasanii kufanya vitu visivyo na uhalisia wa maisha yao kwa kudai kuwa wanaji-brand.
Kipotoshi ame-post...