Rais akosolewa baada ya kumbusu mchezaji

Rais akosolewa baada ya kumbusu mchezaji

Rais wa shirikisho la soka nchini Hispania Luis Rubiales akosolewa baada ya kumbusu mdomoni mchezaji wa ‘timu’ ya taifa ya wanawake nchini humo Jenni Hermoso.

Luis alimbusu mchezaji huyo kutokana na ushindi wa ‘timu’ yao kushinda bao 1-0 dhidi ya England kwenye ‘Fainali’ ya Kombe la Dunia, lililofanyika Sydney siku ya Jumapili.

Busu hilo lilinaswa na camera uwanjani wakati wa sherehe  ya kutolewa tuzo kwa washindi baada ya ‘mechi’ kukamilika,  japo kwa upande wa mchezaji huyo alionesha kufurahishwa na kitendo hiko.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags