28
Mtoto wa Nandy mikononi mwa Zuchu, Ammwagia sifa, Adai atapata wakiume,
Tangu mtoto wa mwanamuziki Nandy na Billnass kuwekwa hadharani siku ya birthday yake ameonekana kupendwa na watu wengi kuanzia kwe...
28
Billnass: Mwanangu anabebwa na watu maarufu, Idriss alibebwa na wachawi
 Mwanamuziki Billnass ameonesha furaha yake kwa kudai kuwa mtoto wake mdogo #Naya amebahatika kwani katika umri wa mwaka mmoj...
28
Lyles ashangwazwa NBA kuitwa mabingwa wa dunia
Akiwa katika interview na waandishi wa habari baada ya ushindi wa medali ya dhahabu katika mashindano ya riadha nchini Marekani, mwanariadha Noah Lyles ameeleza juu ya ukosefu...
28
Manara: Unamnunia nani, Pesa zako zipo kwenye kibubu
Aliyekuwa msemaji wa 'timu' ya #Yanga #HajiManara anaendelea kuwakera watu akiwa katika maeneo mbalimbali  nchini marekani akila bata. Wakati wa muendelezo wa kula bata a...
28
Harmonize awakataa wasanii wa Bongo wasiyoimba kingereza
Mwanamuziki wa BongoFleva #Harmonize leo mapema ameibuka na kusema kama msanii wa Tanzania hana wimbo wa kingereza asimuongeleshe hiyo ni baada ya wimbo wake wa #SingleAgain k...
28
Mwenyenyumba amkataza mfanyakazi kutumia choo, Aende kwa jirani
Kufuatia video inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikiwemo TikTok imeonesha kuzua taharuki kutokana na tukio la mwenyenyumba kumkataza mfanyakazi wake kutumii choo cha ...
28
Utafiti waonesha kucheka ni matibabu ya moyo
Utafiti uliofanyika nchini Brazili umegundua kuwa kucheka kunasaidia katika matibabu ya ugonjwa wa moyo kwa asilimia 10. Utafiti huo uliofanywa na Hospitali ya Clinicas de Por...
28
West Ham washindwa kumkatia tamaa Maguire
Inadaiwa ‘klabu’ ya #WestHam imerudi tena kwenye mazungumzo na ‘klabu’ ya  #ManchesterUnited ili kumchukua ‘beki’ wa kati wa ‘ti...
28
Jinsi ya kupika tambi za dengu kwa ajiri ya biashara
Hellow vipenzi vyangu kama mnavyojua kuwa maendeleo hayana chama basi nami sina hiyana kuwaelekeza yale yote yanayohusiana na ujasiriamali na kuchakalika, mwendo ni ule ule ha...
28
Mavazi unayotakiwa kuvaa wakati wa usaili wa kazi/interview
Na Aisha Lungato   Another week, another day tunakutana tena katika jarida letu pendwa na mwendo ni uleule kujuzana mambo mbalimbali kuhusu kazi, na kama mwezi huu nimewa...
28
Mwanamuziki dayoo aeleza kupotezana na baba yake, Safari ya kumtafuta, Ugumu wa maisha, Mafanikio ya muziki wake
Nisikuchoshe wala nisijichoshe burudani imepata waburudishaji na waburudikaji, week hii tupo na Mangi haha ukisikia naitwa “...
28
Suruali aina ya bwanga zinavyo bamba
It’s another weekend my lovely people kama kawaida yetu Mwananchi Scoop tumekuletea kapu letu la fashion ili uweze kujua mambo mbalimbali katika mitindo na urembo. Leo k...
28
Matumizi ya dawa za kulevya kwa wanavyuo, Changamoto na athari za kudumu
Na Magreth Bavuma Kumekua na kasi ya wimbi la vjana kujihusisha na matumizi ya dawa za kulevya na kutokana na takwimu za sasa si v...
27
Serikali Austria yatoa ofa usafiri bure kwa wenye ‘tattoo’
Serikali nchini Austria imesema itatoa ofa ya usafiri wa treni bure kwa mwaka mzima kwa watu watakaochora ‘tattoo’ yen...

Latest Post