Gigy : Nitambatiza mwanangu, Baba yake haeleweki

Gigy : Nitambatiza mwanangu, Baba yake haeleweki

Mwanamuziki #Gigy Money akiwa kwenye mahojiano na moja ya chombo cha habari nchini anadai kuwa week ijayo amepanga kwenda kumbatiza mtoto wake kutokana na baba mtoto kumkalia kimya bila kuulizia habari za mwanaye.

Aidha mwanadada huyo amesema kama mzazi mwenziye anataka washirikiane basi amtafute haraka kabla hajafanya maamuzi hayo  kwa sababu sasaivi hawezi kumpigia






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags