Mwanamuziki wa #BongoFleva #Marioo amethibitisha kuwa #ChinnoKidd sasa sio ‘dansa’ wake tena , mara baada ya kujikita kwenye muziki na kupata umaarufu kuliko hapo ...
Mchezaji wa #RealMadrid, #ViniciusJunior ameripotiwa atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua miezi miwili baada ya kupata maumivu makali ya misuli.
Kwa mujibu wa The A...
'Kipa' wa zamani wa ‘klabu’ Manchester United, Andre Onana, amerejeshwa tena kwenye kikosi cha 'Timu' ya Taifa ya Cameroon miezi 10 baada ya kustaafu kucheza 'soka...
Mrembo Hamisa Mobetto, ikiwa imepita siku moja tangu afike kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya saratani, mwanadada huyo aomba w...
Mtangazaji #Divatheebawse afunguka sababu ya kutopata mtoto akiwa katika mahojiano na moja chombo cha habari ameeza kuwa aliwahi kupata matatizo yaliyosababisha akafanyiwa upa...
Nchi nyingi zimekuwa na sifa mbalimbalia ambazo hutumika kama kielelezo chake, ukitaka kufahamu historia ya Ethiopia lazima ugusiwe kutotawaliwa kwake, na kuhusu Saudi A...
Mwanamuziki kutoka #Kenya, #Akothee, awakataa wakenya wenzake waache kum-tag kwenye kauli zao za kudhihaki muziki wa Tanzania.
Akothee amekataa kuingilia vita hiyo ya kumuziki...
Nyota wa zamani wa 'Hannah Montana', Mitchel Musso ambaye alicheza "Oliver Oken" akamatwa Texas kwa tuhuma zinazohusiana na wizi wa mfuko wa chipsi akiwa amelewa. ...
Mchekeshaji kutoka #Kenya #Eric Omondi inadaiwa huwenda akaingia katika siasa hivi karibuni kama mgombeaji wa kiti cha ubunge eneo la Lang'ata katika uchaguzi mkuu ujao, hiyo ...
‘Klabu’ ya #SimbaSC leo imethibitisha kuwa imemuacha mchezaji wao Peter Banda huku wakimtakia kila la kheri katika safari yake nyengine.
Aidha ‘timu’ h...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Whozu ameweka hisia zake hadharani kwamba anapendwa sana na mpenzi wake #WemaSepetu amesema endapo akifariki katika wosia wake watu wasisahau kumuo...