Adam afunguka kuzuiwa kufanya mazoezi kabla ya tamasha

Adam afunguka kuzuiwa kufanya mazoezi kabla ya tamasha

Msanii kutoka nchini Uingereza, Adam Thomas amevunja ukimya baada ya kupigwa marufuku kufanya mazoezi ya wimbo wake baada ya kuhofiwa kuwa na ugonjwa wa mafua kabla ya kuingia kwenye tamasha la Strictly Come Dancing nchini humo siku ya jana Jumamosi.

Kwa mujibu wa Dily Mail News inaeleza kuwa mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 35 amesema hakufurahishwa na kitendo hicho huku akidai kuwa tatizo hilo halijapoteza uwezo wake wa kutumbuiza katika tamasha.

Msanii huyo ambaye akishawahi kuigiza filamu ya Emmerdale tukio hilo limemfanya kuwa imara na kuzidi kusonga mbele kwenye tasinia yake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags