Maluma na mpenzi wake watarajia kupata mtoto

Maluma na mpenzi wake watarajia kupata mtoto

Mwimbaji na ‘rapa’ kutoka nchini Colombia, Maluma anatarajia kupata mtoto wa kwanza na mpenzi wake Susana Gomez.

Maluma ameweka wazi kutarajia kupata mtoto wa kike baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Procura’ ambayo aliizindua kwenye tamasha lake Washington D.C.

Wakati wa tamasha hilo lililofanyika katika ukumbi wa Capital One Arena ‘rapa’ huyo ilionyesha clip akiwa na mpenzi wake huyo na familia katika chumba cha ultrasound.

Ikumbukwe tuu mwaka mmoja uliopita Maluma alimshirikisha msanii wa bongo Rayvanny katika remix ya wimbo wa ‘Mama tetema’






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags