Mashabiki kuwarushia vitu mbalimbali wasanii wakati waki-perfome imekuwa jambo la kawaida kwenye nchi mbalimbali. Kwa upande wa rapper Drake amekuwa akitunza sidiria amb...
Siku naomba kufanya nyimbo hii na #Godfreysteven_ haikuwa rahisi kwangu nilijiuliza sana kwa jinsi watu wanatuona hatufai mbele za watu na yeye maisha yake tofauti na yangu. I...
Leo mapema mwanamuziki wa Hip-hop #NayWaMitego ameitika wito kwa ‘kuripoti’ kwenye kituo cha polisi #Central kwa mazungumzo juu ya wimbo wake aliotoa hivi karibuni...
Mwanamuziki #HawaNtarejea ameonesha furaha yake ya kupata mtoto wa kike huku akimshukuru Diamond kwa kumsaidia katika kila hali.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwanadada huyo...
Washindani wa Tuzo ya Ballon d'Or rasmi leo ‘listi’ yao itatoka na mshindi atatangazwa Oktoba 30 jijini Paris, nchini Ufaransa.
Lionel Messi ndiye anayeongoza kuch...
Mwanamuziki na mwanasiasa nchini, Hamisi Mwinjuma #MwanaFA, amemtambulisha rapper #YoungLunya kama ‘Mfalme’ wa Hip-hop kupitia ukurasa wake wa X/Twitter.
MwanaFA a...
Mwanamitindo na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kylie Jenner na mpenzi wake Timothee Chalamet wamedhihirisha penzi lao hadharani kwenye tamasha la Beyonce baada ya &lsqu...
Mchezaji wa mpira wa kikapu kutoka nchini Serbia, Borisa Simanic amelazimika kuondolewa figo baada ya kuumia wakati wa mchezo wa Kombe la Dunia la FIBA kwa kupigwa kiwiko na m...
Wahenga mwalisema kabla hujafa hujaumbika, na inafahamika kuwa si vyema kuwatenga watu kutokana na tofauti zao za kimaumbile. Imezoeleka kwenye jamii kumekuwa na watu wenye ma...
Leo katika Fashion tutaelekeza jinsi gani mama mjamzito atakaweza kuwa na muonekano mzuri katika mavazi na aina ya mavazi anayotakiwa kuvaa katika kipindi hicho.
Baadhi ya wan...
Kama tunavyofahamu kauli ya Kaligraph iliwatoa wasanii wengi wa hip-hop kwenye mashimo waliyokuwa wamejificha, bidada Rosa Ree akaachia mkwaju huku maneno kwenye mitanda...