Mwanamuziki wa bongo Fleva #BabaLevo ameleza kuwa kwasasa ipo haja ya #Harmonize na #Diamond kumaliza tofauti zao.
Baba levo kupitia ukurasa wake wa #Instagram ame-share ‘picha’ akiwa na Harmonize na kueleza kuwa Jana alikutana na #KondeBoy na amekuwa mtu safi sana hivyo basi anadhani ipo haja ya kumuweka sana na #Diamond.
Unadhani wawili hawa wanaweza kumaliza tofauti zao?
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi

Leave a Reply