Polisi nchini Marekani imeripoti kuwa mtu mmoja amepigwa risasi wakati wa tamasha la rapper kutoka nchini humo Lil Baby lililofanyika FedEx Forum.Tamasha hilo lilifanyika usik...
Muigizaji kutoka nchini Marekani, Aaron Paul amedai kuwa kampuni ya kuuza ‘movie’ Netflix haijamlipa mirabaha yake kutoka katika tamthilia ya Breaking Bad.Tamthili...
Baada ya ukimya wa muda mrefu kuhusiana na ‘kesi’ ya mauaji ya msanii kutoka South Afrika Kiernan Forbes maarufu kama AKA hatimaye bastola iliyotumika kumutoa uhai...
Mke wa nyota wa zamani ‘Ligi’ ya England Erik Pieters, Nermina Pieters ameweka wazi kuwa amegundulikaku anaugonjwa wa Saratani ya matiti.Kupitia ukurasa wa Instagr...
Ni kawaida binadamu kujaribu vitu hata vile ambavyo wengine hudhani haviwezekani , hasa wakitaka jambo lao lifanikiwe. Duniani kote inafahamika kuwa sehemu anayoishi Rais, Mal...
Mwanamuziki wa kizazi kipya #Mauasama katika ukurasa wake wa Instagram ame-share post ya #UltraSound ya ujauzito na kuweka kopa iliyopasuka katikati akiwa na maana ya huzuni a...
Baada ya mkeka wa ‘listi’ ya wanaowania tuzo ya Ballon d’or kuwekwa wazi wadau mbalimbali wa mpira wa miguu wameshangazwa na mchezaji kutoka ‘timu&rsqu...
Akizungumza katika kongamano la kukuza uelewa kuhusu athari za unywaji pombe kwa wajawazito nchini Afrika Kusini, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Hendrietta Bogopane-Zulu ...
Ikiwa zimepita siku chache tangu waandaji wa Tuzo ya Ballon d’Or kutangaza kutoa ‘listi’ ya wanaowania tuzo hiyo hatimae wametoa mkeka wa majina ya wachezji ...
Mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kourtney Kardashian ameweka wazi kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa alifanyiwa upasuaji wa haraka kwa ajili ya kuokoa maisha ya mtoto w...
Taarifa za awali zilidai kuwa kiungo mpya wa ‘klabu’ ya Manchester United, Sofyan Amrabat vipimo vyake viligunguliwa kuwa ana tatizo la uti wa mgongo kama straika ...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Asake ameweka wazi kuwa kwa sasa anatamani na angependa kufanya ‘kolabo’ na msanii kutoka nchini Marekani Kanye West.
Asake kupi...
Inafahamika kuwa katika ulimwengu wa sasa mawasiliano yamekuwa kitu kirahisi sana, yaani ni rahisi kumtumia mtu picha,ujumbe, wimbo, video, document na vitu vingine kwa njia r...