Afunga ndoa na mwanaye wa kumlea

Afunga ndoa na mwanaye wa kumlea

Mwanamke mmoja anaye fahamika kwa jina la #AisyluChizhevskaya mwenye umri wa miaka 53 kutoka nchini #Urusi amefunga ndao na mwanaye wa kumlea #DanielChizhevsky (22).

#Aisylu aliviambia vyombo vya habari kuwa alikuwa na hisia za kimapenzi kwa mtoto wake wa kumlea #Daniel mara tuu baada ya kumtoa katika kituo cha watoto yatima.

Mwanamama huyo ambaye pia ana mtoto wa kiume wa kumzaa kutoka kwenye ndoa yake ya mwazo, alimchukua #Daniel kutoka katika ustawi wa jamii akiwa na umri wa miaka 13.

Aidha wafanyakazi wa ustawi wa jamii walishangazwa na habari hiyo, na kufanya maamuzi ya kuwachukua watoto wengine aliyo kuwa akiishi nao ambapo wasichana walikuwa wanne na mvulana mmoja.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags