Ice Spice apewa biblia na shabiki baada ya show

Ice Spice apewa biblia na shabiki baada ya show

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Ice Spice amepewa kitabu cha dini ya Kikristo (bible) baada ya kumaliza show.

Ice ali-share ‘picha’ ya kitabu hicho kupitia InstaStory yake aliyoambatana na swali lililokuwa likieleza kwa nini shabiki aliamua kumpa biblia baada ya kumaliza show huku akimalizia na emoji ya kucheka.

Unadhani ni kwanini shabiki aliamua kumpa msanii huyo biblia?

Ikumbukwe wiki chache zilizopita ‘rapa’ Ice alifanikiwa kutoa ngoma na msanii wa Nigeria Rema, waliyoipa jina la ‘Pretty Girl’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags