Mwanamuziki #DiamondPlatnumz ameshinda tuzo ya #TheHeadies kwa mwaka 2023, katika kipengele cha msanii bora kutoka Afrika Mashariki.
Diamond ameibuka mshindi wa tuzo hiyo kupi...
Mwanamuziki #Diamond usiku wa kuamkia leo akiwa katika tamasha Mtwara amemsifia #ChegeChigunda msanii akidai msanii huyo hajawahi kushuka kwenye muziki tokea anamfahamu na ana...
Zikiwa zimepita siku chache tangu nyota wa muziki kutoka Marekani Rihanna na mpenzi wake A$AP Rocky kupata mtoto wa pili, Rihanna hajataka kupoteza muda na kuamua kutoa sadaka...
Baada ya ukimya wa muda mrefu mwanamieleka John Cena arudi ulingoni tena kwa kishindo.
Ikumbukwe kuwa mwanamieleka huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu akiendelea kufanya ...
Mwanamuziki Akon ameeleza namna ambavyo wamarekani wenye asili ya kiafrika wanaweza kuwa mamilionea ikiwa tu watawekeza kikamilifu barani Afrika.Akon ameyasema hayo kwenye mah...
Inadaiwa msanii wa nyimbo za injili nchini, Emmanuel Mbasha yupo hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam kwa matibabu baada ya kuvamiwa na kuchomwa visu kifuani na mtu asiyeju...
Mwanafunzi wa miaka 12, Yahshua Robinson anadaiwa kufariki dunia baada ya mwalimu wa mazoezi kumlazimisha mtoto huyo kufanya mazoezi ya kukimbia katika kipindi cha joto kali.
...
Boshen ambaye ni mume halali wa aliyekuwa mwanamuziki wa Bongo Fleva marehemu Haitham ameweka wazi kuwa mke wake atapumzishwa leo kwenye makaburi ya kisutu.
Boshen amed...
Kawaida jambo lolote ili lifanikiwe na liwe bora linahitaji watu watakao lisimamia au kujitoa kwa nguvu zote ili kufanikisha, katika baadhi ya filamu matukio ya kila aina yame...
Mwanadada mfanyabiashara wa nywele za bandia kutoka nchini Nigeria aamua kukatiza barabarani kutoa zawadi ya pesa kwa vijana waliyokuwepo pembezoni mwa barabara hiyo.
Mrembo h...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Haitham Kim, ambaye siku chache zilizopita mume wake alithibitisha kuwa mwanamuziki huyo yupo ICU akisumbuliwa na ugonjwa wa mapafu amefariki ...