Asap Rocky aula Puma

Asap Rocky aula Puma

Rapper kutoka nchini #Marekani, na baby mama wa Rihanna #ASAPRocky ametajwa kuwa Mkurugenzi wa Ubunifu (Creative Director) wa ‘kampuni’ ya kutengeneza mavazi ya PUMA X F1.

Inaelezwa kuwa kazi ya ‘rapa’ huyo katika ‘kampuni’ hiyo itakuwa ni kutengeneza ‘design’ aina mbali mbali za mavazi kwa ajili ya ma-dereva na washiriki wa michuano ya mbio za Magari maarufu kama #Langalanga.

Huku ubunifu wa kwanza wa ASAP utaanza kuonekana kwenye mashindano ya Las Vegas, Grand Prix Novemba mwaka huu.

Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 35 sasa anatamba wimbo wake wa ‘RIOT’ aliouachia mwezi mmoja uliopita.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags