Blueface kulipa bilioni 32 kwa kosa la kupiga risasi

Blueface kulipa bilioni 32 kwa kosa la kupiga risasi

‘Rapa’ #BlueFace ameamriwa kulipa fidia ya dola milioni 13 ambapo ni sawa na zaidi ya Bilioni 32 za Kitanzania baada ya kuhusika katika upigaji risasi kwenye club ya ‘Vegas Strip Club’ iliyopo #LasVegas.

Inaelezwa kuwa nyaraka za kisheria zilionesha kuwa mmiliki wa club hiyo #EuphoricGentleman alimshtaki #Blueface juu ya tukio hilo, akidai biashara yake iliharibiwa kwa sababu ya tukio la kupigwa risasi.

 Ikumbukwe kuwa risasi ilipigwa katika ukumbi huo wa starehe Novemba 2022.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags