Mke wa Justin Beiber hataki kuambiwa mjamzito, Analea mbwa wake kwanza

Mke wa Justin Beiber hataki kuambiwa mjamzito, Analea mbwa wake kwanza

Mke wa Justin Beiber, Hailey Bieber ambaye ni mwanamitindo achoshwa na maneno ya watu wanaomtuhumu kuwa ni mjamzito na wanaojadili mwili wake, Hailey amedai kuwa kwa sasa yuko sawa kulea mbwa wake.

Hailey ameyasema hayo siku ya jana Jumanne wakati akizungumza na GQ,na kusema anaumizwa na mashabiki wanaotoa mawazo kama hayo juu ya mwili wake , na akaendelea kwa kusema kuwa kila mtu azingatie namna ambavyo anataka mwili wake uwe na siyo kumsema.

Hailey na Justin walifunga ndoa Septemba 2018 na hadi sasa ndoa yao imefikisha miaka mitano.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags